Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Professa Dos
Santos Silayo wakisaini hati yamakubaliano inayoipa mamlaka TFS kupanda na kustawisha miti, na kuhifadhi misitu yoteiliyopo ndani ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kuikijanisha Dodoma mapema leo jijiniDodoma.
Wakibadilishana hati baada ya kuzisaini
Wakizungumza na waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇