KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425
|
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu,
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Naibu Kamishna wa
Magereza Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza.
Uteuzi huu umeanza
leo tarehe 13 Julai, 2018.
Kabla ya uteuzi
huu Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike alikuwa Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji Tanzania (TCTA)
Ukonga, Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali
wa Magereza Kasike anachukua nafasi ya Dkt. Juma Alli Malewa ambaye amestaafu.
Gerson
Msigwa
Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es
Salaam
13 Julai,
2018
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇