LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2018

MAJALIWA AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018.  Wapili kulia ni mkewe Mary na watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga. Wapili kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Hasna Mwilima. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipowasili  kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza  ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga wakati alipowasili  kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. Kulia ni mkewe Mary. 


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama ngoma ya asili ya wananwake wa Kigoma  wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. (CHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages