LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2018

MAJALIWA AONGOZA MKUTANAO WA WADAU WA MICHIKICHI MJINI KIGOMA

Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Michikichi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipoongoza mkutano huo kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma Julai 28, 2018. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa  akizungumza wakati alipoongoza Mkutano wa Wadau wa Michikichi kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa  akizungumza wakati alipoongoza Mkutano wa Wadau wa Michikichi kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma Julai 28, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba.


Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa  akizungumza wakati alipoongoza Mkutano wa Wadau wa Michikichi kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma Julai 28, 2018. Kulia ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga. 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages