Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti wa Mazao ya Kilimo kutoka Kituo cha Utafiti cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Julai 11, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Japhet Justine.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Jul 11, 2018
Home
Unlabelled
MAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO
MAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇