LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2018

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM DK. BASHIRU ALLY MKOANI SINGIDA, LEO



 "TWENDE HUKU" Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally akia!biwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba (kulia), baada ya kupokelewa wilayani Ikungi Kwa ajili ya ziara ya siku moja mkoani Singida leo.
 Dk. Bashir akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili wilayani Ikungi.
 Dk. Bashiru akiwasalimia wana CCM.
  Dk. Bashiru akisaini katika kitabu cha wageni.
 Makada wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa kupokea Katibu Mkuu.



 Mkutano ukiendelea.
 Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
 Makada wa CCM wakiimba wimbo wa Taifa.
 Makada wa CCM wakijitambulisha kwa Katibu Mkuu.
 Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuph Makamba akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Singida, Diana Chilolo.

  Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuf Makamba akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba.

Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Jimbo hilo, mbele ya Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuph Makamba , akizungumza kwenye mkutano wa kumpokea Katibu Mkuu mkoani Singida.

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, .Miraji Jumanne Mtaturu, akitoa taarifa ya maendeleo kwa Katibu Mkuu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali akipitia taarifa mbalimbali za maendeleo.
 Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi, Mussa Sunja, akitoa taarifa.
 Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba wakionesha silaha za jadi baada ya Wazee wa Mkoa wa Singida kumsimika rasmi.



No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages