Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akimzawadia kinyago Mjumbe wa Sekretarieti na Mkuu wa Idara ya Mambo ya Nje wa chama cha CPC cha Cuba Jose Balaguer Cabrera baada ya kufanya Mazungumzo Makao Makuu ya CPC mjini Havana nchini humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akimpa barua Makamu wa kwanza wa Rais wa Cuba Salvador Valde's Mesa ambaye alipokea barua hiyo kwa niaba ya Rais wa nchi hiyo ikitoka kwa Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Masgufuli
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akimzawadia kinyago Makamu wa kwanza wa Rais wa Cuba Salvador Valde's Mesa.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇