LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 9, 2018

ZIARA YA DK. MNDOLWA GEITA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akimtazama mtoto Athumani Elias (14), anavyochuja mchanga kwa maji kupata almasi, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza. Wakati machimbo hayo yapo Geita leseni imeshikiliwa na Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akipwa maelezo alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na msafara wake wakikagua baadhi ya maeneo, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza. Wakati machimbo hayo yapo Geita leseni imeshikiliwa na Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Zanzibar, Abdallah Hajj
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akionyeshwa dhahabu inavyopembuliwa kwa maji, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto  Sima (kushoto) na Makamu wake upande wa Zanzibar, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza. Wakati machimbo hayo yapo Geita leseni imeshikiliwa na Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akipwa maelezo alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza wakiwa na baadhi ya viongozi waliofuatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama walipotambulishwa wakati Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Abdalla Hajj akisalimia, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, akifuatana na Dk. Mndolwa, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa akiingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo ,  mkoa wa Geita leo juni 9, 2018
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa akiwa na viongozi wa meza Kuu baada ya kuingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Halamashauri kuu ya ccm mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo ,  mkoa wa Geita leo juni 9, 2018
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa akisubiri kusaini kitabu cha wageni baada ya kuingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo ,  mkoa wa Geita leo juni 9, 2018
Wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa alipozungumza nao katika kikao cha ndani kilichofanyika leo Juni 9, 2018 katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Geita
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo ,  mkoa wa Geita leo juni 9, 2018
Wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa alipozungumza nao katika kikao cha ndani kilichofanyika leo Juni 9, 2018 katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Geita

 Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania kwa upande wa Abdallah Hajj akizungumza wakati wa kikao cha wajumbe wa Halamashauri kuu ya mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo , kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, leo juni 9,2018. Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Geita Robert Luhumbi.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza wakati wa kikao cha wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita na wajumbe wa mabaraza ya Jumuiya za CCM mkoa huo , kilifanyika leo juni 9,2018.( Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages