LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2018

RAIS MNANGAGWA WA ZIMBABWE AWASILI NCHINI, RAIS DK. MAGUFULI AMPOKEA KWA SHANGWE

Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe, akikagua gwaride la JWTZ baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe akiwapungua mkono wananchi huku akiongozana na mwenyeji wake Rais Dk Magufuli naada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Rais Dk. Magufuki na ujumbe wake eakiwa kwenye mazungumxo na Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe na mwenyeji wake Rais Dk  John Magufuli wakifurahia sarakasi iliyochezwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jukius Nyerere
Rais Dk Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe kuzungumza na Waandishi wa habari
Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa   wa Zimbabwe akizungumza na waandishi wa habari
Rais Dk Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson Dambudzo Mnangwagwa wa Zimbabwe baada ya kuzungumza na waandishi wa habari .

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages