Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Edmund Mndolwa leo amemuwakilisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kwenye mazishi ya Diwani Mahega Masuga selemani wa Kata ya Tindabuligi, ambaye alifariki katika msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM ulipopata ajali katika eneo la Kisesa Wilayani Meatu mkoani Simiyu. Pichani Vijana wa UVCM wakibeba jeneza lenye mwili wa Diwani huyo wakati wa mazishi.
Your Ad Spot
Jun 13, 2018
Home
Unlabelled
DK. MNDOLWA AMUWAKILISHA DK. MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI ALIYEFARIKI KWA AJALI MKOANI SIMIYU KATIKA MSAFARA WA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA
DK. MNDOLWA AMUWAKILISHA DK. MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI ALIYEFARIKI KWA AJALI MKOANI SIMIYU KATIKA MSAFARA WA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇