Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Geita Clement Kapufi baada ya kuwasili leo jioni kwenye ofisi ya CCM mkoani Geita, kuanza ziara mkoani humo. Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanzibar
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akipokea salam ya kiongozi wa predi Skafu la Vijana wa CCM, baada ya kuwasili leo jioni kwenye ofisi ya CCM mkoani Geita, kuanza ziara mkoani humo. Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanzibar Abdallah Hajj Haidar
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akiwa wakati akipokea salam ya padedi ya skafu. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Erasto Sima.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akivishwa skafu na Kijana wa CCM wakati wa paredi Skafu la Vijana wa CCM, baada ya kuwasili leo jioni kwenye ofisi ya CCM mkoani Geita, kuanza ziara mkoani humo.
Kiongozi wa Vijana wa paredi la skafu wa CCM akionyesha ukakamavu baada ya Dk. Mndolwa kuvishwa skafu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia viongozi wakati akienda ukumbini kuzungumza na viongozi wa Jumuiya hiyo baada ya mapokezi, alipowasili leo jioni kwenye ofisi ya CCM mkoani Geita, kuanza ziara mkoani humo.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuingia ukumbini kuzungumza na viongozi wa Jumuiya hiyo baada ya mapokezi, alipowasili leo jioni kwenye ofisi ya CCM mkoani Geita, kuanza ziara mkoani humo. Wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi upande wa Zanzibar
Wajumbe ukumbini. Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇