Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama
Baadhi ya Viongozi wakijiandaa kumlaki Katibu Mkuu huyo mpya
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiimba nyimbo za hamasa wakati wakisubiri ujio wa Katibu Mkuu huyo wa Jumuiya yao leo
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiimba nyimbo za hamasa wakati wakisubiri ujio wa Katibu Mkuu huyo wa Jumuiya yao leo
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi, Erasto Sima (kushoto) akilakiwa na Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban
Mohamed jijini Dae es
Salama
Katibu Mkuu wa CCM akikabidhiwa maua kunogesha mapokezi
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania akisalimia baadhi ya viongozi waliofika kwenye mapo0kezi yake
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipewa na Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban
Mohamed vitabu vya kusaini, baada ya kuwasili Ofisi ya Jumuiya hiyo jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima akipokea
akisaini kitabu cha wagerni
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi, Erasto Sima (kushoto) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban
Mohamed wakati akizungumza katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es
Salama
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto)
akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo
Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo
jijini Dae es Salama
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima akizungumza na waandishi wa habari baada ya makabidhiano ya ofisi
Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Seif Shaaban Mohamed akimkaribisha kuzungumza na Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima na baadhi ya viongozi wa Jumuiya hiyo, mwishoni mwa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo
jijini Dae es Salama. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇