Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanzibar Haidar Haji Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo.
|
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akizungumza wakati wa mkutano huo.
|
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Cornel Magembe akizungumza kwenye mkutano huo.
|
Malenga Omari Kupnda kutoka Nyamagana, akighani shairi wakati wa kikao hicho.
|
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Christina Joram akizungumza, alioopewa nafasi ya kusakimia kwenye kikao hicho.
|
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ambaye alikuwa mjumbe katika Kamati ya kuhakiki mali za Chama Ndugu Sitwala akizungumza baada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho.
|
Baadhi ya viongozi na watumishi wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye kikao hicho.
|
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
|
|
Baadhi ya viongozi na watumishi wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye kikao hicho. |
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akiagana na Katibu wa Jumuiya hiyo mkoa wa Mwanza, Adam Soud kabla ya kuondoka Mwanza kwenda mkoani Mara baada ya kikao hicho
|
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇