Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu Mkuu wa ANC Ace Magashule Makao Makuu ya ANC jijini Johanesburg. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT Gaudentia Kabaka. |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Rais wa ANC Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Makao Makuu ya ANC Jijini Johanesburg, jana. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT Gaudentia Kabaka. |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa ANC Gwede Mantashe, Makao Makuu ya ANC Jijini Johanesburg. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇