Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani, [Picha na Ikulu.] 13/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani leo mara baada ya kulifungua rasmi Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani leo (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) , [Picha na Ikulu.] 13/05/2018.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇