Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Ikulu jijini Dar es Salaam leo |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Kheri James, Ikulu jijini Dar es Salaam leo |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Kheri James, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwenyekiti wa UWT Gaudentia Kabaka |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dk. Edmund Mndolwawa, Ikulu jijini Dar es Salaam leo |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akifurahia jambo na Mzee Mkapa na Mzee Mangula wakati akiwasindikiza walipokuwa wakiondoka Ikulu jijini Dar es Salaam, leo |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasindikiza Mzee Mkapa na Mzee Mangula walipokuwa wakiondoka Ikulu jijini Dar es Salaam, |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇