Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM (NEC) KINACHOENDELEA KUFANYIKA CHINI YA UENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM,DKT JOHN POMBE MAGUFULI KIMEPITISHA MAJINA MAWILI YA WAJUMBE WAPYA WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NEC AMBAO NI WAZIRI MKUU MSTAAFU WA AWAMU YA NNE NDUGU MIZENGO PETER PINDA NA NDUGU MAKONGORO NYERERE.
KIKAO HICHO PIA KIMEPIGA KURA YA KUWAPATA WAJUMBE SITA KWA KUZINGATIA JINSIA WATATU KUTOKA TANZANIA BARA NA WATATU KUTOKA TANZANIA ZANZIBAR AMBAO WATKUWA WAJUMBE WA KAMATI KUU
MAJINA 14, TISA KUTOKA KILA UPANDE YALIPENDEKEZWA KUWANIA NAFASI HIZO.
|
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇