Shamra shamra wakati Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndugu Daniel Zenda na Viongozi wa Seneti Vyuo Mkoa wa Dar es Salaam wakiingia ukumbini katika Mahafali ya tano ya Vyuo Vikuu Mkoa Dar Salaam, katika ukumbi wa Mrina, Manzese Dar.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇