Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya Wiyo wa Wilaya na Kata ya Ubungo katika kikao cha kazi kilichofanyika katika Wilaya hiyo leo. Wengine kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa na kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa Dar es Salaam Eizabeth Lameck, Madiiwani wa Viti maalum Rehema Mayunga na Florence Masunga na Katibu wa UWT mkoa wa Dar es salaam Tatu Malyaga.
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akimkaribisha Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave alipowasili
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiingia ukumbini
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave (kushoto), Tatu Malyaga (kulia) na Elizabeth Lameck wakiwa Ofisini ya CCM Kimara kabla ya kiungia kwenye kikao hicho
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiwa tayari ukumbini kuendesha kikao hicho
Kina mama wa UWT Ubungo wakishangilia
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisalimia wajumbe
Diwani wa Viti maalum Rehema Mayunga akisalimia
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa dar es Salaam Hawa Ng'humbi akisalimia
Katibu wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa akisalimia
Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam Tatu malyaga akizungumza wakati akimkaribisha kuzungumza Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave.
Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo wakati akiwafunda katika mkutano wa kazi viongozi wa UWT Wilaya ya Ubungo na Kata zake katika kikao hicho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
Mar 10, 2018
Home
Unlabelled
KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, YAANZA ZIARA YA VIKAO VYA KIKAZI KATIKA WILAYA ZOTE, LEO
KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, YAANZA ZIARA YA VIKAO VYA KIKAZI KATIKA WILAYA ZOTE, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇