Kaimu Mkurugenzi wa
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kushoto)
akimkabidhi funguo ya gari, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Tanzania, Thobias Andengenye katika hafla iliyofanyika leo kwenye Kituo cha
Zimamoto cha Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini
Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania, Thobias Andengenye akiwa na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw.
Richard Mayongela katika picha ya pamoja na maafisa wa kikosi hicho na
menejimenti ya TAA
Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
(TAA), Bi. Irene Sikumbili (kushoto) akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye leo baada ya kukabidhiwa gari
litakalotumiwa na Kamanda wa kikosi cha Zimamoto cha Viwanja vya Ndege
Tanzania. Wengine kulia ni Mkuu wa Idara ya Manunuzi na Ugavi Bw. Mtengela
Hanga na (katikati) Mkuu wa Idara ya Udhibiti Viwango Bw. Paul Rwegasha
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard
Mayongela (kulia) akiagana na makamanda wa kikosi cha zimamoto na Uokoaji baada
ya kukabidhi gari leo
Your Ad Spot
Feb 2, 2018
Home
Unlabelled
MAMLAKA YA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA YAKABIDHI GARI KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, LEO
MAMLAKA YA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA YAKABIDHI GARI KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇