LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 3, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA DK. KILANGI KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, LEO IKULU DAR ES SALAAM

Rais Dk.  John Pombe Magufuli akimuapisha  Dk. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali, leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Dk. Magufuli alimteua juzi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages