LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 19, 2018

RAIS DK MAGUFULI AMTEUA PROF MAKENYA KUWA MWENYEKITI WACHSTECH

Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti waTume ya Sayansi naTeknolojiaTanzania (COSTECH), kuanzia leo Februari 19, 2018.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages