LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 6, 2018

MKUU WA WILAYA YA ILALA SOPHIA MJEMA AWAKABIDHI MACHINGA WA KARIAKOO VITAMBULISHO VYA URAIA, LEO

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimkabidhi Kitambulisho cha Uraia, Machinga Prosper Massawe, katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwahutubia maelfu ya Machinga wakati wa kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Umati wa wafanyabiashara Machinga wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema alipokuwa akiwahutubia kuwaeleza faida za kuwa na Kitambulisho cha Uraia, wakati wa hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Umati wa wafanyabiashara Machinga wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema alipokuwa akiwahutubia kuwaeleza faida za kuwa na Kitambulisho cha Uraia, wakati wa hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Machinga wakimshangilia Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema wakati akizungumzam nao katika hafla ya kuwakabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Machinga wakimshangilia Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema wakati akizungumzam nao katika hafla ya kuwakabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akijadili jambo na Ofisa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA) muda mfupi kabla ya kuwabidhi vitambulisho hivyo kwaMachinga zaidi ya mia moja, kwenye kwenye hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimkabidhi Kitambulisho cha Uraia, Kiongozi wa Machinga Hamis Sadiki katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa Machinga wa Mtaa wa Congo, Kariakoo Dar es Salaam, Hamis Sadiki akifurahia kitambulisho chake cha Uraia baada ya kukabidhiwa leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimkabidhi Kitambulisho cha Uraia, Machinga Fatuma Ramadhani katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Fatuma Ramadhani akifurahia kitambulisho chake cha Uraia baada ya kukabidhiwa
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimkabidhi Kitambulisho cha Uraia, Machinga Anthony katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimkabidhi Kitambulisho cha Uraia, Machinga Hashim Ramadhani katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo (kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa meza kuu wakati wa hafla ya  kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akishauriana jambo na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Edward Mpogolo katika hafla ya kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimsikiliza mwananchi mmoja mwenye ulemavu aliyekuwendea kutoa shida yake katika hafla ya kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitoa maelekezo kwa Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Edward Mpogolo na maofisa waandamizi wa Polisi, mwishoni mwa hafla ya kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiingia katika gari lake kwa ajili ya kuondoka baada ya kukamilisha hafla ya kukabidhi vitambulisho vya Uraia kwa zaidi ya machinga mia moja, iliyofanyika leo katika Mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages