Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto), akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Gwaride la heshima likipita mbele ya Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, wakati wa hafla ya kumuaga kamishna msaidizi huyo iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kulia),akipongezwa na maafisa wa jeshi hilo baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo katika hafla iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, akipongezwa na mkewe Yunisi Mwaisabila (kulia), baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto) akipongezwa na
mjukuu wake baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga
iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇