Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dk. Tito Mwinuka, ametembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, Mkoani Shinyanga ambapo
katika ziara hiyo, Dk. amekagua shughuli mbalimbali zinazofanyika katika kituoni hcho ambacho ni moja ya vituo vilivyofanyiwa upanuzi wakati wa utekelezaji wa Mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 (Backbone) kutoka Mkoani Iringa hadi Shinyanga. Pichani, Dk. Mwinuka, akisaini Kitabu cha Kumbukumbu ya Wageni kwenye kituo hicho.
Muonekano wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇