Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akizungumza katika Kongamano la Miaka 41 ya CCM, kwa Vijana wa CCM wa Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Chuo cha St. Joseph, Seneti ya Dar es Salaam, iliyofanyika leo Feb 18, 2018 katika ukumbi uliopo Mbezi, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku na wengine kutoka kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Idara ya Vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Daniel Zenda, Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Salum Kalii na Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Chuo cha St. Joseph Ikram Soragha. Akizungumza amesema yeye na viongozi wengine wenye umri mkubwa wanafarijika sana wanapoona vijana 'wanatroti' kupokea kijiti cha uongozi kutoka kwao, kwa kuwa wakikabidhiwa vijiti hivyo bila kuwa tayari hawatakuwa na manufaa kwa Taifa
Baadhi ya vijana wakiwa kwenye semina hiyo
Vijana wakihamasisha wenzao wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM -Bara Philip Mangula hajafika ukumbini
Vijana wakionekana kuwa na hamasa wakati wakimsubiri Mzee Mangula kwasili ukumbini
Kijana akihamasisha wenzake kwa wimbo wakati wakimsubiri Mzee Mangula kuingia ukumbini
Katibu wa CCM Willaya ya Ubungo Salum Kalii akishauriana jambo na Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Taifa Daniel Zenda wakati wa semina hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Chuo cha St. Joseph Ikram Soragha.
Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye semina hiyo
Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Chuo cha St. Joseph Ikram Soragha akifungua kikao cha semina hiyo
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Taifa Daniel Zenda akifanya utambulisho wa wenyeji
Kattibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Salum Kalii akitoa neno la Utangulizi na kumkaribisha Mzee Mangula kuzungumza na washiriki wa semina hiyo
Mzee Mangula akizungumza na washiriki wa semina hiyo ya miaka 41 ya CCM.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku akitoa mada kuhusu Maana ya Itikadi, akasema "Huwezi kujua Itikadi ya Chama chako kama hujui historia ya nchi ilikoto".
"Ni lazima msome vitambu mbalimbali kuhusu historia ya nchi, mfano wa vitabu hivyo ni hiki cha Azimio la Arusha", alisema Butiku huku akionyesha kitabu hicho
Mzee Mangula akimpongeza Mzee Butiku kwa kutoa mada iliyoshiba, kwenye semina hiyo
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Chuo cha St. Joseph Ikram Soragha, wakati kijana huyo akimshauri jambo kwenye semina hiyo.
Mpigapicha mahiri wa Televisheni ya Taifa (TBC1) George Kasembe akiwa kazini wakati wa semina hiyo
Mzee Samuel Kaseri akitoa mada kuhusu Itikadi kwenye semina hiyo
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akifafanua mambo mbalimbali mwishoni mwa Kongamano la Miaka 41 ya CCM, kwa Vijana wa CCM wa Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Chuo cha St. Joseph, Seneti ya Dar es Salaam, iliyofanyika leo Feb 18, 2018 katika ukumbi uliopo Mbezi, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Feb 18, 2018
Home
Unlabelled
MANGULA AONGOZA SEMINA YA MIAKA 41 YA CCM KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM TAWI LA CHUO CHA ST. JOSEPH, MBEZI, DAR ES SALAAM, LEO. ASEMA WAZEE WANAFARIJIKA WANAPOONA VIJANA WANA 'TROTI" KUSHIKA KIJITI CHA UONGOZI WA CHAMA.
MANGULA AONGOZA SEMINA YA MIAKA 41 YA CCM KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM TAWI LA CHUO CHA ST. JOSEPH, MBEZI, DAR ES SALAAM, LEO. ASEMA WAZEE WANAFARIJIKA WANAPOONA VIJANA WANA 'TROTI" KUSHIKA KIJITI CHA UONGOZI WA CHAMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇