Wananchi wakishangilia kwa hamasa wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM uliofanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi Tandale jijini Dar es Salaam |
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za ubunge za CCM uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Tandale jijini Dar es Salaam, leo |
Baadhi ya wabunge wa CCM na wageni waalikwa wakiwa kwenye mkutano huo |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kate Kamba (katikati) akiwa na baadhi ya wabunge wa CCM waliohudhuria mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mtulia katika viwanja vya Sule ya msingi Tandale |
Naibu Spika wa Bunge Tulia Akson akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni katika Mkutano wa kampeni hizo za kumnadi mfgombea ubunge jimbo la Kinondon Said Mtulia (kushoto) |
Baadhi ya Wabunge wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo |
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm katika Jimbo la Kinondoni said Mtulia akipanda jukwaani |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇