Amirijeshi Mkuu Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride la Maofisa wapya wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania (JWTZ) na baadhi kutoka nchi marafiki kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Amirijeshi Mkuu Rais Dk. John Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Mafisa wapya wa Jeshi la ulinzi wakivalishana vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Amirijeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam

Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakila kiapo cha Utii kwa Amirijeshi Mkuu Rais Dk. Magufuli
Amirijeshi Mkuu Rais Dk. Magufuli akiwa na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli (TMA) Meja Jenerali Paul Peter Masao katika picha ya pamoja na Maafisa hao wapya
Amirijeshi Kuuu Rais Dk magufuli akicharaza ngoma wakati wa sherehe hizo za kutumuku nishani
Your Ad Spot
Feb 3, 2018
Home
Unlabelled
AMIRI JESHI MKUU RAIS DK. MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WAPYA192 WA JWTZ NA BAADHI WA NCHI MARAFIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.
AMIRI JESHI MKUU RAIS DK. MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WAPYA192 WA JWTZ NA BAADHI WA NCHI MARAFIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇