LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2017

UWT YAWATAKIA LA KHERI WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WANAOANZA KUFANYA MITIHANI LEO

Umoja wa Wanawake Tanzania( UWT) unaungana na Watanzania wote kuwatakia kheri na mafanikio wanafunzi wote wa kidato cha Nne wanaoanza mtihani leo tarehe 30/10/2017. 

UWT inawaombea kwa Mungu Afya njema na awawezeshe kufanya salama na vizuri mitihani hii. Pia inawaombea kwa Mungu aendelee kuwalinda kipindi chote watakacho kuwa ktk Mitihani. Mwisho UWT inawasihi wanafunzi na wazazi wote kumtanguliza Mungu na kutojihusisha na vitendo vyote vinavyoenda kinyume na taratibu za Mitihani.

Ahsante,
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Katibu Mkuu UWT Amina makilagi

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages