Aina ya msaada uliotolewa |
Dereva akiliungurumisha basi kupitia daraja la Kigamboni kwenda kwenye kituo hicho |
Baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwenda kwenye kituo hicho cha kusaidia waraibu wa dawa za kulevya kurejea katika maisha ya kawaida, baada ya kufika wafanyakazi hao wakaanza kushuka na vitu vya msaada, mmoja baada ya mwingine |
Cecy Jeremiah |
Binti Abbas Mtemvu |
Mwandishi wa Uhuru na Mzalendo, Njumai Ngota |
Mhasibu Mkuu wa Uhuru FM Alvera Kabwogi |
Mhariri Mkuu wa Uhuru FM Pius Ntiga |
Mfanyakazi Uhuru FM Godliver Koplo |
Meneja rasilimali watu wa Uhuru FM paul Mg'ong'o |
Meneja rasilimali watu wa Uhuru FM paul Mg'ong'o |
Meneja Masoko wa Uhuru FM Furaha Luhende |
Meneja Masoko wa Uhuru FM Furaha Luhende |
Mtangazaji Uhuru FM Zuhura Zidadu |
Mtangazaji Uhuru FM Zuhura Zidadu |
Mtangazaji Uhuru FM Paul Sigori |
Meneja Mawasiliano Uhuru FM Arnold Dominic |
Mhariri Mkuu wa Uuhuru FM Pius Ntiga akiingia kwenye kituo hicho |
Cecy Jeremiah akitafakari jambo baada ya kufika kwenye kituo hicho Kigamboni |
Baadhi wakibadilishana mawazo baada ya kufika kwenye kituo hicho Kigamboni |
Baadhi wakibadilishana mawazo baada ya kufika kwenye kituo hicho Kigamboni |
Mtangazaji said Ambua akibadilishana mawazo na mwanzilishi wa kituo hicho |
Ntiga na wenzake wakifuatilia mambo yalivyokuwa yakienda |
Luhende akifuatilia live kutoka Uhuru FM kwa makini kuhusu matangazo kutoka kwenye kituo hicho cha Kigamboni. |
Sigori na ambua wakiwa tayari kutangaza live tukio hilo la utoaji msaada |
Sigori (kushoto) akitangaza live tukio hilo |
Mwanzilishi wa kituo hicho akitoa maelezo |
Mmoja wa waraibu wa dawa za kulevya akitoa maelezo |
Mmoja wa waraibu wa dawa za kulevya akitoa maelezo |
Arnold Dominic wa Uhuru FM akitoa maelezo ya msaada |
Ambua akitoa maelezo |
Mama kabwogi akitoa maelezo ambapo aliwasihi vijana walioacha matumizi ya dawa za kulevya kuwasaidia wenzao nao kuacha |
Mg'ong'o akikabidhi msaada huo kwa mwanzilishi wa kituo hicho cha Kigamboni. |
Mg'ong'o akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo |
Shughuli ikamalizika kwa watumishi wa Uhuru FM na wenyeji wao kupigwa picha hii ya pamoja. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇