Baadhi ya viongozi wa meza kuu wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo Eva Manembe.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa meza kuu
Mmoja wa wajumbe Khalifa Khalifa akiuliza maswali katika kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Mburahati John Mapunda
Mmoja wa wajumbe Christina kalukua akiuliza maswali katika kikao hicho.
Mmoja wa wajumbe Godfrey Chilongola akiuliza maswali katika kikao hicho
Mmoja wa wajumbe Viona Maganda akiuliza maswali katika kikao hicho
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ubungo Justin Sambu, akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja alipowasili kufunga kikao hicho.
Wajumbe wakiwa wamesimama kumlaki Mgonja ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akiwa na miongozi wengine baada ya kuwasili meza kuu kwa ajili ya kufunga kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mjonga akisalimia Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda
Baadhi ya viongozi meza kuu. Kulia niMjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ubungo Justin Sambu akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja kuzungumza na kufunga kikao hicho
Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza kabla ya kufunga kikao hicho
Mgnja na viongozi meza kuu wakifurahia jambo baada ya kufungwa kikao hicho

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda akiongoza maombi ya kubariki chakula kwa ajili ya wajumbe na waalikwa baada ya kikao kumalizika
Wajumbe wakijisevia chakula

Chakula baada ya kikao

Foleni ya chakula

Chakula
Chakula

Katibu w Elimu na Malezi wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Saranga Godfrey Chilongola akitoa neno la shukurani
Mjumbe wa kamati ya Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magundaakitoa neno la shukurani
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akiagana na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda, baada ya kikao kumalizika
Mgonja akimsikiliza mmoja wa wajumbe wakati akiagana naye
Mgonja akiondoka ukumbini
Mgonja akiagana na viongozi na wajumbe wakati akiondoka.

Mgonja akiagana na Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Mburahati John Mapunda. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇