Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Tawi la CCM Kitpe "B" leo akiwa katika ziara ya kutembelea maendeleo mbali mbali ya Kimaendeleo Wilaya ya kaskazini "B" Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Jimbo Hasina Juma Mati (wa pili kulia) alipotembelea Tawi la CCM Kitope "B" leo baada ya kulifungua rasmi alipofanya ziara maalum katika Wilaya ya kaskazini "B" Unguja,wengine Mwenyekiti wa Tawi hilo Bw.Ramadhan Said Abdalla (kulia),
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meneja mradi katika Kanda ya Afrika Mashariki katika Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Nd,Tushar Mehta alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meneja wa Mawasiliano katika Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Fatma Salum Ali (kulia) wa Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda hicho wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja mradi katika Kanda ya Afrika Mashariki katika Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Nd,Tushar Mehta (wa pili kushoto) alipofanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa mradi katika Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Bw,Mahesh Patel (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇