LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2017

SHAKA AMALIZIA ZIARA YAKE YA SIKU NNE KISIWANI PEMBA WILAYA YA MKOANI KWA KUFANYA SHUGHULI ZA KIJAMII.



 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki ujenzi wa tawi la CCM Chumbageni  wilaya ya Mkoani Kusini Pemba,ambapo aliwataka wana CCM kufanya matawi hayo kuwa sehemu za kufanya shughuli za kiuchumi .
 Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Mkoani (wa tatu kulia)akitoa maelezo ya uharibifu wa Mazingira  kwa Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka.


 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza  na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake katika Shughuli ya kuhifadhi mazingira yanayoathiriwa na tabia ya nchi kwa  kupanda miti aina ya Mikoko  Wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini pemba.
 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (wa pili kulia) akipanda miti aina ya Mikoko pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake kuhifadhi mazingira yanayoathiriwa na tabia ya nchi Wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini pemba.
 wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake Wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini pemba .
 Mwenyekiti wa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg. Ali Juma Nassor,akizungumza katika Mkutano wa ndani akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake katika mkutano wa ndani Wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini pemba .
 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mkutano wake wa mwisho nawanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake katika mkutano wa ndani Wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini pemba .
 
Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani
Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim(wakwanza kulia)akitoa taarifa fupi kwa Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages