Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni
wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga
kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka
Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga, kesho asubuhi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, Ikulu ya Tanga, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akienda na mgeni wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda, kwenye ghifa ya Kitaifa aliyomwandalia, Ikulu ya
Tanga. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇