Rais Dk.John Magufuli, akisalimiana na Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili.
Vikundi vya vya ngoma na Wananchi mbali mbali wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam katika mapokezi ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi leo
Kikundi cha Brass Bandi kikiburudisha wakati wa mapokezi ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi alipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili
Rais Dk.John Magufuli na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakiwapungia mikono wananchi waliofika katika mapokezi ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi, leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi akienda kukagua gwaride la rasmi baada ya kuwasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi akifuatana na Makamanda wa Jeshi la Ulinzi JWTZ leo baada ya kukagua gwaride rasmi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbilI
Rais wa Zanzinar Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi wakati wa mapokezi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kwa mualiko wa Rais.Dk. John Magufuli
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi leo
Rais Dk.John Magufuli, na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah
El-Sisi wakiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya mapokezi.
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi (katikati) na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiongozwa na Rais Dk.John Magufuli, Ikulu ya Jijini Dar es Salaam, leo.
Mazungumzo ya Viongozi baina ya Ujumbe wa Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi (kulia) na Viongozi wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Abdel Sisi na Ujumbe wake wakiwa nchini kwa ziara ya siku mbili, (Picha na Ikulu).
Your Ad Spot
Aug 14, 2017
Home
Unlabelled
RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI TANZANIA LEO
RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI TANZANIA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇