Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
pamoja na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati wa nyimbo za
mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere(JNIA). Rais huyo wa Misri ameondoka mara baada ya kumaliza ziara yake
ya siku mbili hapa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al
Sisi wakati akielekea kupanda ndege mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili hapa nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
nchini.PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇