Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)
alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na
Mazingira,Bodi
ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha
siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho
kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)
alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na
Mazingira,Bodi
ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha
siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho
kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji
Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki(kulia) alipokuwa na Wajumbe wa Bodo hiyo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki(katikati) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingirana Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),wengine Katibu Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Nd,Ahmed Abdulrahman Rashid (kushoto) na Mshauri wa Rais Uwezeshaji na Uwekezaji Bw.Abdurahman Mwnyijumbe
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi pia Mjumbe wa Bodi ya Kamisheni ya Ardhi Nd,Ahmed Abdulrahman Rashid alipokuwa akitoa maelezo na Historia ya Kamisheni wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki
Mwasheria Mkuu wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said (katikati) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa kisheria wakati katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdihamid Yahya Mzee na Fedha na Mshauri wa Rais Uwezeshaji na Uwekezaji Bw.Abdurahman Mwnyijumbe
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdihamid Yahya Mzee (kulia) akipokuwa akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Your Ad Spot
Aug 4, 2017
Home
Unlabelled
RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA KAMISHENI YA ARDHI IKULU
RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA KAMISHENI YA ARDHI IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇