Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogoro
akifungua Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Umoja wa
Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa Kamati Kuu Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Sadifa Juma Khamisi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo hayo. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇