Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akizungumza na watumishi wa Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa
za Kulevya pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipofanya
ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam,
ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia
bandari bubu na mianya yote ya uingizwaji na usambazaji.
Naibu Kamishna wa Kitengo cha Jeshi la Polisi
cha Kuzuia Dawa za Kulevya, DCP Mkonyi, akitoa taarifa fupi ya hali ya uzuiaji
wa Dawa za Kulevya mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofanya
ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam,
ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizaji wa dawa hizo kupitia
bandari bubu na mianya yote ya uingizwaji na usambazaji
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisomewa takwimu za matukio ya ukamataji wa Dawa
za Kulevya na mmoja wa afisa wa Kitengo
cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya
wakati alipofanya ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya
Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na
uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingzwaji na
usambazaji
Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Naibu
Kamishna wa Polisi, DCP Mkonyi, wakati alipotembelea Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za
Kulevya kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza
kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na
mianya yote ya uingzwaji na usambazaji. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇