Naibu
katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza
kabla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa
na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi
wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
washiriki wakiuliza maswali katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
muwasilishaji mada akiendelea
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.
Hamasa ikiendelea
Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
washiriki wakiuliza maswali katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇