LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2017

ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE KAWE AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

DAR ES SALAAM
Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu uliopita, Colman Massawe (pichani), amefariki Dunia.

Taarifa zilizopatikana zimesema, Massawe amefariki dunia jana asubuhi kutokana na ajali ya gari iliyomfika katika eneo la Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Msiba upo Masaki ambako ndiko nyumbani kwa marehemu Massawe na mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages