Habari kutoka Mkoa wa Arusha zinasema Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mwenyekiti wa UVCCM Sabaya ambae pia ni Diwani kwa tuhuma za kughushi na kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama na kutapeli watu mbalimbali. Hii ni mara ya pili kwa Kiongozi huyo kukamatwa akihusishwa na tukio hilo hilo
Your Ad Spot
Aug 10, 2017
Home
Unlabelled
AKAMATWA NA POLISI AKIDAIWA KUJIFANYA OFISA WA USALAMA WA TAIFA
AKAMATWA NA POLISI AKIDAIWA KUJIFANYA OFISA WA USALAMA WA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇