Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akiongoza matembezi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani
kuingia katika Uwanja wa Mashujaa, kuadhimisha siku yao iliyofanyika Kitaifa leo mkoani
Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed
Mpinga
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa
Usalama Barabarani ambapo aliwaasa madereva kufuata sheria kupunguza
tatizo la ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikisababisha vifo na kuacha idadi
kubwa ya vifo na majeruhi. Wapili
kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed Mpinga na anayefuatia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro
Mambosasa. Maadhimisho hayo yamefanyika Kitaifa leo katika Uwanja wa Mashujaa,leo mkoani
Dodoma.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed Mpinga, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na
kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro
Mambosasa akizungumza wakati wa Maadhimisho hayo.
Mabalozi wa Usalama wa Barabarani wakiwa kwenye maadhimisho hayo
Msanii Faustine Matina ambae ni Balozi wa
Usalama Barabarani, akiimba wimbo wa kuhimiza masuala ya kuzingatia sheria za
usalama barabarani wakati wa maadhimisho hayo.
Muathiwa wa ajali anayefahamika kwa jina la Mpemba
Asilia, akizungumza na Mabalozi wa Usalama Barabarani, alipofika katika maadhimisho hayo
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mabalozi wa Usalama Barabarani wakati wa Maadhimisho hayo. Wasita kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mohamed Mpinga. PICHA: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Your Ad Spot
Jul 8, 2017
Home
Unlabelled
WAZIRI MASAUNI ONGOZA MATEMBEZI YA SIKU YA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI MKOANI DODOMA, LEO
WAZIRI MASAUNI ONGOZA MATEMBEZI YA SIKU YA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI MKOANI DODOMA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇