Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Umma, Viongozi
wa Dini na Viongozi wa Taasisi Binafisi wa Manispaa ya Mbeya kwenye
ukumbi wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya Julai 31, 2017. Kushoto ni Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Kulia ni Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson.
Baadhi ya Watumishi wa Umma, Viongozi wa Dini na Viongozi wa Taasisi
Binafsi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza
nao kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya julai 31, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa TAKUKURU wa Mkoa wa
Mbeya, Mhandisi Emmanuel Kyabo taarifa zinaoonyesha ubadhirifu
uliofanywa na baadhi ya watendaji katika ujenzi wa soko la Mwanjelwa
jijini Mbeya ili afanye uchunguzi wa kina na kumshauri Waziri Mkuu
hatua zinazostahili kuchukuliwa kwa wanatakaobainika kuwa wamefanya
makokosa. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Jul 31, 2017
Home
Unlabelled
MAJALIWA ZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA MBEYA
MAJALIWA ZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA MBEYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇