LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 31, 2017

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHAFANYIKA LEO

 Wajumbe na waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Ubungo, Dar es Salaam, leo.
 Wajumbe na waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Ubungo, Dar es Salaam, leo.
 Naibu Meya, Meya na Naibu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao hicho
 Ofisa katika Halmashauri ya Ubungo Ndugu Nassiri (kushoto) akishauri jambo kwenye meza kuu wakati wa kikao hicho.
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Meya wa Manispaa ya Ubungo akiendesha kikao hicho
 Wajumbe waalikwa wakiwa ukumbini
 Askari wa Manispaa hiyo ya Ubungo wakiwa ukumbini kuhakikisha usalama.
 Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
 Mjumbe akiuliza swali
 Mkjumbe akiuliza swali
 Mjumbe akisisitiza jambo wakati akiuliza swali
 Kikao kikiendelea
 Naibu Mkurugenzi wa Manispaa ya Unungo akitoa maelezo muhimu katika kikao hicho
 Mwenyekiti wa Kamati wa Mipangomiji na Mazingira Omari Kombo akitoa hoja ya kuomba kujiuzulu nafasi hiyo baada ya mmoja wa wanakamati hiyo kudaiwa kukumbwa na kashfa ya kuomba rushwa
Mwanasheria wa Maanispaa hiyo Merick Luvingo akitoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu hoja hiyo, ambapo mtoa hoja alitakiwa kuandika barua ya kujiuzulu kabla ya kuwasilisha ombi lake kikaoni.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages