LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 25, 2017

SHEIKH MKUU, MUFT WA TANZANIA SHIKH ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI MJINI MOSHI

Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.
Sheikh Mkuu Mufti waTanzania, Sheikh Abubakary Bin Zubery akishiriki Futari katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, jana. 
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay wakati wa Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waumini wakishiriki Futari hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akishiriki Futari hiyo
Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo .
Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa, Alhaj Sheikh Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari hiyo

Sheakh Mkuu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya Futari
Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wengine ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages