Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndg Daniel Zenda aliesimama kushoto
akizungumza na Wanachama na Viongozi Makada wa CCM Idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam.
akizungumza na Wanachama na Viongozi Makada wa CCM Idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Idara ya Organaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa UVCCM Ndg Mohamed Suleiman akizungumza na Viongozi Makada wa CCM idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam .
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam .
Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa mkoa wa dar es salaam wakimsikiliza Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka
Kiongozi wa idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Chuo kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM ) ndg:Daud Ngasa akizungumzia mambo mbali mbali yahusuyo tawi lake kwa ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka leo alipo kutana naviogozi na wa nachama Mkoa wa Dar es Saaalam
Meza kuu ikisikiliza
Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka aliyesimama kulia akizungumza na Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa Mkoa wa Dar es salaam jana katika ukumbi wa Uvccm Makao Makuu Upanga Dar es salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akiagana na Viongozi wa Uvccm Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇