LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 21, 2017

RAIS DK MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula Jumatano Juni 21, 2017  katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha  yatima mkoani humo.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (wa pili kulia) akichukua chakula Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukua chakula Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha 
 Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha 
 Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa neno la shukrani Jumatano Juni 21, 2017  wa waliohudhuria  futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
 Mmoja wa waze Maarufu wa Kibaha ambaye ni Kamishna Mkuu wa Magereza Mstaafu Mzee Jumanne Mangara (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Bagamoyo Sober House Bw. Alkareem Bhanji (kati) na Mdau Oshiro
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa na Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe. sylvester Koka na wadau 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  baada ya kuzungumza machache wakati wa  futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa akitoa neno la shukurani kwa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa  wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
   Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamisi Mtupa   baada ya kuzungumza machache wakati wa  futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa  wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

 Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  akizungumza machache na kuomba dua baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  baada ya   futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  baada ya   futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  baada ya   futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Ndekilo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali, Kaimu Shehe wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa na Padri R. Mukandara
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na kuwashukuru waalikwa kwa kufika katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mbunge wa Kibaha Vijijini Mhe Hamoud Juma baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe Sylvester Koka baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha. Hapa akipeana mikono na Bw. Petro Magoyi
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.Hapa anapeana mikono na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ambaye yupo na Katibu wa Itikadi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendelea kuagana na wageni wake baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mzee Mwinshehe Mlai baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali  baada ya futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages