LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 1, 2017

OFISI YA WAZIRI MKUU WALIVYOSHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MJINI DODOMA, LEO

 Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma.

 Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma 
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri akisoma hotuba wakati wa Sherehe  za Mei Mosi zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages