Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya
ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo kuzungumza na
Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa
Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa
katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya
ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo kuzungumza na
Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa
Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa
katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliojumuika na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika ziara maalum Kisiwani Pemba wakiwa katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo chake chake Pemba katika mkutano na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Kaimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara
maalum za SMZ,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Khalid Salum Mohamed
alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi
mbali mbali katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba
leo na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa
Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu
Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara
maalum ya kimaendeleo,(kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Pemba (kulia) na Afisa wadhamini wa Wizara mbali mbali kisiwani Pemba wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza na Watendaji
mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa
Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa
katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi
mbali mbali katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba
leona Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa
Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Khamis Othman alipokuwa akielezea
changamoto mbali mbali zilizokuwemo katika Mkoa wake wakati wa Mkutano
wa Viongozi mbali mbali wa Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba Mhe,Abeid Juma Ali alipokuwa akichangia katika Mkutano wa Viongozi mbali mbali wa Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
Mkuu
wa Wilaya ya Chake chake Mhe,Salama Mbarouk Khatib alipkuwa
akizungumzia migogoro ya Ardhi iliyopo katika Wilaya yake katika katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi mbali mbali na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini, Mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇